Mungu anapomleta mwanadamu duniani anakua ameshapanga kitu gani anaenda kufanya.
Uji duniani Mungu iliakutafutie kazi
Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema Bwana,ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi siku zenu za mwisho. Ndo inavotwambia YER:29:11
Ona Mungu anavotupenda, katika WAEFESO:1:4 Anazidi kusema, angalia..kama vile alivyotuchagua katika yeye kabla yakuwekwa misingi ya ulimwengu, ili tuwe watakatifu, watu wasio na hatia mbele zake katika pendo. zidi kuona anavotuangaikia....
2WAKORINTHO:2:11 Anasema Shetani asije akapata kutushinda, kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake.
Ona sasa hii 2WAKORINTHO 11:3 anasema lakini nachelea, kama yule nyoka alivyomdanganya Hawa kwa hila yake, asije akawaharibu fikira zenu,mkauacha unyofu na usafi kwa kristo. kumbe Hawa ndo alidanganywa Adamu hakudanganywa.. ona sasa hii...1TIMOTHEO: 2:14 inasema...Wala Adamu hakudanganywa, ila mwanamke alidanganywa kabisa akaingia katika hali ya kukosa.
No comments:
Post a Comment