Monday, September 3, 2012

MTUMISHI WA MUNGU ALA KIAPO CHA NDOA



                                           Sabrina alivotokelezea


                                        Bwana harusi na bibi harusi wakipata chakula


                                       Best man na matron wakipata  nao chakula


Mtumisha wa mungu Bw. Frederick bigilwa juma mosi alikula kiapo cha ndoa, ama alifunga pingu za maisha kwa lugha nyingine, na Loyce kokubelwa Henerico, katika kanisa la usharika wa mbezi na Reception ikafanyika katika ukumbi wa" STELLA MATUNTINA".

Maana neno la mungu linasema mwanamme atamwacha baba na mama yake ataambatana na mkewe nao watakua mwili mmoja. MWANZO: 2:24

"MUNGU AIBALIKI NDOA YENU IWE NA BARAKA  TELE..."

No comments:

Post a Comment